Maadhimisho ya Siku ya Saratani Duniani

Katika kuadhimisha Siku ya Saratani Duniani, HOTA kwa kushirikiana na Taasisi ya Ocean Road wamefanya matembezi ya hisani yenye lengo la kuhamasisha jamii kuhusu umuhimu wa upimaji wa mapema wa saratani ya shingo ya kizazi. Matembezi haya yamewaleta pamoja watu kutoka makundi mbalimbali ili kueneza uelewa juu ya ugonjwa huu ambao unawaathiri wanawake wengi duniani. […]
Empowering Minds: Mental Health & GBV Awareness at Fanaka Secondary

📅 On this day, January 31, 2025📍 Fanaka Secondary School, Tanzania On this day, Health Outreach Tanzania conducted an impactful awareness session at Fanaka Secondary School, focusing on crucial topics such as mental health, parenting, family relationships, and gender-based violence (GBV). This initiative aimed to educate, empower, and equip young girls with essential knowledge and […]