Ushiriki wa HOTA Katika Kongamano la Afya ya Akili Jijini Dodoma

Hospitali ya Taifa ya Mirembe, iliyopo jijini Dodoma, imeandaa kongamano maalum la afya ya akili litakalofanyika tarehe 10 Oktoba, ambapo HOTA imealikwa kushiriki. Kongamano hili lina lengo kuu la kuhamasisha jamii juu ya umuhimu wa kujali na kulinda afya ya akili, ambayo inatajwa kuwa msingi wa afya zote. tukio hili, wadau mbalimbali watajadili njia bora […]