Health Outreach Tanzania

Hospitali ya Taifa ya Mirembe, iliyopo jijini Dodoma, imeandaa kongamano maalum la afya ya akili litakalofanyika tarehe 10 Oktoba, ambapo HOTA imealikwa kushiriki. Kongamano hili lina lengo kuu la kuhamasisha jamii juu ya umuhimu wa kujali na kulinda afya ya akili, ambayo inatajwa kuwa msingi wa afya zote.

Ushiriki wa HOTA Katika Kongamano la Afya ya Akili Jijini Dodoma
Ushiriki wa HOTA Katika Kongamano la Afya ya Akili Jijini Dodoma
Ushiriki wa HOTA Katika Kongamano la Afya ya Akili Jijini Dodoma

tukio hili, wadau mbalimbali watajadili njia bora za kuboresha uelewa na huduma za afya ya akili ili kuhakikisha kila mtu anaishi kwa afya njema kiakili na kimwili. Tafadhali ungana nasi kushiriki kwenye mjadala huu muhimu,

Hakuna Kiingilio, Bonyeza Kujisajili

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *